1/5
Dalali Wako screenshot 0
Dalali Wako screenshot 1
Dalali Wako screenshot 2
Dalali Wako screenshot 3
Dalali Wako screenshot 4
Dalali Wako Icon

Dalali Wako

Musnad Rubeiyyah
Trustable Ranking Icon
1K+Pobrania
13MBRozmiar
Android Version Icon4.2.x+
Wersja na Androida
1.0(30-10-2020)
-
(0 Recenzje)
Age ratingPEGI-3
Pobierz
SzczegółyRecenzjeInfo
1/5

Opis Dalali Wako

Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotafuta nyumba kwaajili ya ofisi, makazi au biashara basi dalali wako ni App muhimu kuwa nayo. Kupitia Dalali Wako utaweza kupata nyumba kwenye eneo ulilopo kwa urahisi zaidi.


Ndani ya App ya Dalali Wako utaweza kuchati na mtu anaepangisha au kuuza nyumba, kiwanja au hata ofisi. Vilevile utaweza kuweka nyumba moja kwa moja kwenye app na tutakurahishia kupata wateja kwa urahisi.


Mambo yaliyomo kwenye app ya Dalali Wako ni pamoja na


* Utaweza kuweka nyumba kwaajili ya kuuza au kupangisha


* Kuwa dalali kupitia simu yako kwa kutengeneza profile kupitia Dalali Wako App


* Futa nyumba baada ya kupangisha


* Tafuta nyumba kulingana na eneo, vitu ilivyonavyo au kulingana na bei


Pamoja na mambo mengine mengi, download sasa app ya Dalali wako uweze kupata nyumba kwa urahisi hapa Tanzania.


Dalali Wako - Wersja 1.0

(30-10-2020)
Co nowegoTranslationBugs Fix and Performance Improved

Nie ma jeszcze żadnych recenzji ani ocen! Aby napisać pierwszą

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Dalali Wako - Informacje APK

Wersja APK: 1.0Pakiet: com.dalaliwako.musnad
Kompatybilność Android: 4.2.x+ (Jelly Bean)
Deweloper:Musnad RubeiyyahPolityka Prywatności:http://app.dalaliwako.com/privacypolicy.htmlUprawnienia:31
Nazwa: Dalali WakoRozmiar: 13 MBPobrania: 0Wersja : 1.0Data Wydania: 2021-02-22 12:55:22Min. Ekran: SMALLObsługiwane CPU:
Identyfikator pakietu: com.dalaliwako.musnadPodpis SHA1: 36:52:D9:E9:DC:4F:2F:5F:18:F2:F0:11:9E:47:14:DD:3A:64:D5:ABDeweloper (CN): AndroidOrganizacja (O): Google Inc.Miejsce (L): Mountain ViewKraj (C): USStan / Miasto (ST): CaliforniaIdentyfikator pakietu: com.dalaliwako.musnadPodpis SHA1: 36:52:D9:E9:DC:4F:2F:5F:18:F2:F0:11:9E:47:14:DD:3A:64:D5:ABDeweloper (CN): AndroidOrganizacja (O): Google Inc.Miejsce (L): Mountain ViewKraj (C): USStan / Miasto (ST): California